Ngoma mpya na ya kwanza ya Professor Jay tangu achaguliwe kuwa mbunge mwaka jana. Inaitwa Kazi Kazi na amemshirikisha muimbaji wa Singeli Sholo Mwamba. ni kazi nzuri sana nimekuwekea apa ...na kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye tovuti hii tucheki kwa call no; +255714903603
Tag :
lainnya