Mastaa wawili Chris Dizzo na Elvin Boy kutoka Republic of Burundi ambao makazi yao ni nchini South Africa mjini Cape Town wameachia ngoma yao mpya yenye miondoko ya R&B iiitwayo ''ONYEMA''.
Ushirikiano wa mastaa haa wawili umeileta nyingine ladha ya muziki kwenye soko la muziki Republic of Burundi ,East Africa mpaka South Africa.
Ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Lasoul kutoka South Africa.
Isikilize na udownload hapa:Onyema yesteryear Chris Dizzo & Elvin Boy

Tag :
lainnya