Download Mp3 from African

New Video|Natacha - SHIKILIA|Download Mp4

Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia kibao chake ''Unaniogopea'' akishirikiana na kundi lizima la Yamoto Band,Natacha Burundi ameachia video ya ngoma yake mpya ''SHIKILIA''.
Audio ya ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Lizer Classic ndani ya Wasafi Record.
Video ipo chini ya Director Pablo Tanzania.
Natacha Burundi

Itazame hapa                                                    
Back To Top