Download Mp3 from African

PAM D adai wanaume wengi wanaogopa kuwa na mahusiano na wasanii wa kike,Kisa?

Msanii
Msanii wa kike Pam D ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Nipe nono’ aliomshirikisha Nay wa Mitego amesema kuwa baadhi ya wanaume wanaogopa kuwa na mahusiano ya kimapenzi wasanii wa kike wa bongo fleva.
Akiongea kwenye east newz PAM amedai kwamba watu wengi wanawachukulia wasanii wa kike kama watu wenye mambo mengi na wengine kuogopa kusalitiwa akijitolea mfano yeye kuwa anatamani kumpata mtu ambaye atakuwa serious,lakini mwanaume wengi wamekuwa wakiogopa.
Kwanza kuna baadhi ya wanaume unakuta wanatuogopa ujue, wanaona labda tunawadanganya,hawajiamini wenyewe” alisema Pam D na kuongeza angepata mwanaume aliye serious kama Nay wa Mitego angeshukuru sana.
Source: EATV
Tag : lainnya
Back To Top