Download Mp3 from African

Timbulo alikuwa anafanya kazi hii kabla ya kuanza muziki..soma hapa kuijua.

Msanii wa bongo fleva Timbulo ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ngomani ameweka wazi kuwa kabla ya kuanza muziki alikuwa ni mwalimu na ndio taaluma aliyoisomea.
Akieleza mahangaiko yake kwenye muziki katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa radio Timbulo amedai kuwa aliachana na ualimu kwa kuwa aliamini kuwa muziki ungeweza kumfikisha mbali zaidi kuliko kazi hiyo.
Mimi nilikuwa ticha,nmesomea ualimu,lakini baada ya kuona kuwa muziki unaweza kunifikisha mbali kuliko hata kazi ya ualimu niliamua kuacha na kujikita zaidi kwenye muziki” alifunguka Timbulo.
Tag : lainnya
Back To Top