Baada ya Rita Ora kutangazwa, imetajwa kuwa majaji watakuwa supermodel shley Graham, Chief wa jarida la Paper Drew Elliott na mbunifu wa mavazi wa watu maarufu Law Roach.
Fahamu exhibit hii ilianzishwa na model Tyra Banks, na anaendelea kuwa mtayarishaji wa kipindi hicho pamoja na Ken Mok.
Tag :
lainnya