Collabo ya Joh Makini na Davido ni ya muda mrefu sana kiasi kwamba mashabiki wamekuwa na shauku kubwa ya kusikia walichokifanya kwenye Collabo hiyo, lakini habari njema ni kwamba muda si mrefu tutaisikia na kuitazama kazi hiyo kwani kwa sasa Joh Makini na Davido wako SA wakishoot video.
Beranda
» EXCLUSIVES
» News
» wasanii
» GOOD NEWS | Msanii wa Hiphop bongo Joh Makini na Davido waingia place kushoot collabo yao.