Download Mp3 from African

New Audio| Cooll B_Zawadi ya Mwaka Rmx Ft H5N1 Flow |Download Mp3

Msanii wa muzik kutoka Burundi, Cool B ameachia wimbo wake mpya uitwao Zawadi ya Mwaka Remix akishirikiana na A Flow Slim, kazi hii imetengenezwa na Chidi Pro wa Zenge Records.

Kwa mara yako ya kwanza sikiliza wimbo huu hapa, kama na wewe ni msanii una well au video na unapenda ipatikane hapa wasiliana na kwa namba +257  75707305.

Back To Top