Msanii wa muziki kutoka Burundi, La Niyomukiza, ameachia wimbo wake mpya uitwao Umuco, imetengenezwa na La Niyomukiza pekee katika studio Next Level Records.
Nimekusogezea hapa kuwa wa kwanza kuipakua, kama na wewe ni msanii una well au video unapenda ipatikane hapa wasilia nasi kwa namba +257 75707305.