Thursday, February 26, 2015

Msanii
Akes Don kutoka Republic of Burundi ameachia wimbo wake mpya iitwayo
Subiza Iyukuye(Mademo) huku akiwa bado anatamba na kibao chake
Kizunguzungu. Leo nimekusogezea wimbo wa kwake Akes Don, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +257 75707305