Kipindi iki kinaitwa EXPOSURE ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media kipindi hiki tutakuwa tunakuletea kila siku ya jumapili, juma tano na ijumaa kupitia website yetu hii ya www.africanmishe,com na zile website rafiki kama www.ommyboy.blogspot.com, www.mtiwadawa.com na johventuretz.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki wasiliana nasi kwa no +255714903603
Tag :
lainnya
