
Kundi nzima la Alpha Team kutoka Burundi, imeachia wimbo wao mpya iitwayo Ni Wewe. Leo nimekusogezea kazi nyingine nzuri kutoka kwa kundi nzima la Alpha Team inayoundwa na vijana watatu ( The Major, Andi na Future), kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +257 75707305.