Download Mp3 from African

New Audio | Trigger ft Pim _ Impeta | download mp3


Msanii Trigger kama alivyo tuhaidi mwaka uliopita kuwa mwanzoni mwa mwaka 2017 ataachia wimbo wake mpya ya fungua mwaka, Leo amekalisha kazi hiyo itwayo Impeta uliokuwa unasubiriwa na watu wengi huku akishirikiana na msanii Pim.
Kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +25775707305.
Back To Top