Download Mp3 from African

Malkia Elizabeth atafuta mkurugenzi rasmi wa akaunti yake ya Twitter

MalkiaMalkia wa Uingereza Elizabeth wa pili afahamisha kwa anatafuta mkurugenzi mkuu wa akaunt yake binafsi ya Twitter.
Mkurugenzi huyo wa akaunti hiyo atapewa mshahara wa Euro elfu 30.
Akaunti ya binafsi ya malkia Elizabeth ina watu takriban watu milioni 2.77 .
Tangazo hilo pia limefanywa kupitia akaunti za Facebook na Youtube.
Kwa mujibu wa maelezo kuhusu watakaotaka kujisajili ni sharti awe amehitimu chuo kikuu,mwenye uwezo wa kuwa na maono ya siku za usoni,mbunifu na marifa kuhusu picha na video.
Tag : lainnya
Back To Top