Hii video mpya ya staa wa muziki kutoka Republic of Burundi Akes Don “Kizunguzungu“ alioshirikiana na Happy Famba, ni video inayoonyesha ukubwa wa muziki wa Akes Don nchini Republic of Burundi na East Africa nzima kwa ujumla.
Video imetayarishwa na Director Brian Smith wa Falkon Films.
Video imetayarishwa na Director Brian Smith wa Falkon Films.