Msani wa muziki wa Hip Hop Frank Duniano ameachia ngoma yake mpya ''Burundi Bwacu'' ,kwenye ngoma hii Frank ameshirikiana na Chany Queen.
Ngoma hii imetoka baada tu ya Frank Duniano kusaini Album Deal|You'll Love Changes Vol2| na kampuni ya Ikoh Multiservice inayoongozwa na Ikoriciza Harouna
Burundi Bwacu ni ngoma ya kwanza kutoka kwenye Album hiyo ''You'll Love Changes Vol2''