Download Mp3 from African

B-Bright amjibu Lolilo kwa hile kauli ya kuipaka tope Media za Burundi

Msanii wa muziki wa Burundifleva B-Bright Zenge Boy ambae kwasasa anazidi kutamba na wimbo wake My Valentine, ameachia bonge la neno mbele ya mtangazaji wa African Mishe na kufunguka kuhusu kazi yake anatarakjia kuachia hivi karibu akishirikiana na msanii Jay Fire.

B-Bright alipoulizwa kuhusu kauli ya wasanii wa Republic of Burundi fleva kutupia lawama media za Republic of Burundi na kusema kuwa Media zinaubaguzi kwa kutangaza kazi za wasanii, B Bright alifunguka nakusema, 

''kwanza nataka  niwe mkweli nilikua mdau tangu muziki unaanza kukubalika nikaamua kuwa msanii na kuimba kwasababu naweza. Nachoka kusema kijana(Lolilo) ni msanii mzurii ana auwezo mzuri sana ila tatizo moja kijana hajiamini anataka yeye awe yeye tu hilo ndio tatizo lake na kwasasa ametangaza kuacha muziki wa Burundifleva anataka wawapi?

kwanza naona yeye nauongozi wake hawataki kubali kama wameanguka kimuziki na kiimaisha, anatupia lawama media na ma promota wakati ndizo zilizowezesha yeye kutoka kimuziki endapo wasanii waliotangulia wangekuwa na roho ya husda kama yeye hasisngetoka.

naona Kijana hataki kuona msanii mpya au wazamani anachukua na fasi yake  kimuziki  ndio sababu ya  yeye kudai kama anataka kuacha muziki.
ameongea vitu vya ajabu ila naona kijana kapanic, hivyo wasanii wenzangu angalieni huyu kijana si mzuri kabisa`

sasa najua mashabiki zangu wanapenda kazi zangu kwasasa na ninazidi  kubamba kwenye hap 10 za media  nyingi basi kaaeni mkao wa kula kusubiri kazi nzuri nitakuwa pamoja na mkali wa sauti nchini ambae ni Jay Fire, wimbo unakuja na jina ya Influenza A virus subtype H5N1 Coté, achaneni na huyo kijana tayari tumekwisha muangusha kimuziki anabakilia maneno pali ya kufanya kazi; Alimalizia Zenge Boy.
Back To Top