Msani wa muziki
Lolilo a.k.a Simba asikitishwa na Media za Republic of Burundi kutocheza nyimbo zake na ameamua kuachia wimbo huu alioupa jina la ''
NYOTA''.Kwenye wimbo huu Lolilo amesema :''
Leo swata kwenye Tv ata radioni sisikiki ...niliowatowa hawanijali....kwanini juhudi zangu hamzioni?ila najua ipo siku nyota yangu itafufuka Mola hamtupi mja wake.Ayo ni baadhi ya maneno yapo kwenye wimbo huyo .
Sikiliza hapa:
NYOTA yesteryear Lolilo Simba