Saturday, November 12, 2016
Baada ya kuachana na mpenzi wake
Queen Africano,Msani wa muziki wa R&B
Black G Africano aamua kumuagizia ujumbe mzito kupitia wimbo wake mpya ''
SIVYIZA''(Sio vizuri).
Wimbo umetayarishwa na Producer
Shadow wa Dragon Record.