Muigizaji huyo amekiambia kipindi cha due east News kuwa, “Mimi ninavyoona kiki hazisaidii kabisa ila ukitaka kujua hizi kiki hazina faida uliza mashabiki na hilo nimeona mara nyingi kutokana na skendo ila mimi ninachoamini ni kwamba kazi yako ikiwa nzuri pia watu watakukubali,” amesema Bui.
Bui ameongeza kwa kuwataka wasanii wenzake wapendane na wawe na ushirikiano kwenye kazi. Hata Bi Hindu aliwahi kusema kauli kama hiyo wiki chache zilizopita kupitia kipindi cha Uhondo cha EFM.
Tag :
lainnya