Mwana hip hop mahiri nchini Burundi, Faby Love ameachia nyimbo yake mpya akishirikiana na mkali wa R&B, Emery Dominicus huku nyimbo ikipewa jina la Magonde.
Isikilize hapa kwa mara ya kwanza nyimbo nzuri ya wakali wawili kutoka Burundi, mwana hip hop Faby Love na Emery Sun