Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia ngoma yake ''Usijigambe'' yenye miondoko ya mduara ,R.Vicent akishirikiana na Latino wameachia ngoma yao mpya kabisa iitwayo '' NIACHIE''.
Ngoma hii ipo chini ya Producer Shadow Black ndani ya Dragon Record.
Isikilize na Upakue hapa : Niachie past times Latino & R.Vicent
Ngoma hii ipo chini ya Producer Shadow Black ndani ya Dragon Record.
Isikilize na Upakue hapa : Niachie past times Latino & R.Vicent