Wednesday, March 15, 2017
Pamekuwa na minong'ono na ishara kuwa msanii wa bongo fleva mwenye asili ya Sweden mwanadada Saraha sasa anatoka kimapenzi na Big Jahman ambaye pia ni msanii wa bongo fleva, baada ya kuachana na producer Fundi Samweli
Hata hivyo Big amesema watu wanajiongeza kuwa yeye na Saraha wanamahusiano kwa kuwa ni mwanamke na yeye ni mwanaume lakini wanasapotiana tu kimuziki na si vinginevyo.
Tag :
lainnya