Najua kuna idadi kubwa ya mashabiki wa soka la Burundi,ambao wanajiuliza kwanini timu ya Inter Star Fc inazidi kudidimia na kupoteza mechi zake za kuelekea kumaliza msimu wakati ilikuwa ikifanya vizuri, ila mambo yanazidi kubadilika na kujikuta wakiambulia sare na vipigo tu.
Kwa mtazamo wa karibu, klabu ya Inter Star ikiwa na mashabiki wengi nchini, imeanza kupoteza mashabiki zake kutokana na matokeo mabovu.
Kisa cha klabu hii kupoteza mashabiki na kuzidi kufanya vibaya kwenye Ligii Kuu ya Primus League,
kwanza ni uwezo, mwanzo ya ligi ilizidi kuongoza Ligi kwasababu ya ukosefu wa uwezo inayozidi kuwa ngumu huku wachezaji wakikosa mutisha, ndipo matatizo ya sare na vipigo inazidi kwa desturi.Uongozi na stafu nzima ya Klabu hii haijakuwa imara na baadhi ya walimu walishapoteza morali hata ya kufanya kazi ipasavyo kwasababu wanaitaji mambo mengi ili timu iwe na kiwango kama zamani.
Tag :
lainnya