Huu haapa ni wimbo mwingine mpya kabisa kutoka kwa Jahazi Modern Taarab ,ngona inaitwa ''JICHO LA MUNGU HALILALI''.
Wimbo umeimbwa na muimbaji mzoefu MOSSI SULEIMAN(Picha Juu) ambaye amejiunga miezi mihache iliopita.
Jahazi wameachia nyimbo mbili mpya ''NATAKA JIBU'' ulioimbwa na MWASITI KITORONTO na huu ''JICHO LA MUNGU HALILALI''.