Download Mp3 from African

Video | Alikiba Ataja Wasanii Aliowasign Kwa Label Yake, Yupo Jokate

Tumesikia baadhi ya wasanii wakianzisha label zao za kusimamia
wasanii, baadhi ya hao ni Diamond platnumz, Baraka Da Prince na Shilole.
Najua wengi hamlijui hili ila ni kwamba msanii Ali Kiba nae kaanzisha
Music label yake.



Katika label hiyo ana wasanii
watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike. Ali Kiba kamtaja Jokate kama
mmoja wa wasanii ambao watakua chini yake na tayari wameshafanya kolabo
pamoja. Unaweza kumsikiliza Ali Kiba hapa chini katika video hii.
Tag : lainnya
Back To Top