Msanii wa muziki wa Burundifleva Jay Fire ameachia wimbo wake mpya itwayo Marry Me, chini ya mikono ya producer anayezidi kufanya kazi nzuri kwasasa akifaamika kwajina la Chidi Pro kutoka pande za Zengse Records.
Leo nimekusogezea kazi nzuri ya kwake Jay Fire, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.
Leo nimekusogezea kazi nzuri ya kwake Jay Fire, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.