Download Mp3 from African

New Audio | Natacha_Abarundi Kazi | Download mp3


Mwanamuziki wa kike Natacha maarufu kama La Namba ambaye anazidi kufanya vizuri kwenye soko la muziki la Burundifleva, baada ya kutamba na kusikika kila kona ya dunia na kazi zake nyingi nzuri, hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya itwayo Abarundi kazi, kazi hii imetengenezwa na Producer mahiri Aron Ntitunga.

Leo nimekusogezea kazi nzuri ya kwake mwana mama mrembo Natacha La Namba hapa, kama na wewe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305. 
Back To Top