Muimbaji wa nyimbo za injili (Gospel Music) Jean Marie MUCO ambae anazichapa kazi zake za uimbaji nchini Republic of Zambia ameachia wimbo wake mpya ''Ngenani Mu moyo''(Ingia moyoni).
Wimbo huu upo kwenye Albamu yake mpya TUWE MACHO.
Sikiliza na upakue hapa
Wimbo huu upo kwenye Albamu yake mpya TUWE MACHO.
Sikiliza na upakue hapa