Msani Mc Mello kutoka nchini Canada ameachia ngoma yake mpya iitwayo ''Iyo Nari Kumenya'',wimbo huu Mc Mello ameshirikiana na msani Emery Sun.
Ngoma hii ipo chini ya kampuni ya IKOH MULTISERVICE na imeongozwa na Producer Amir Pro.
Ngoma hii ipo chini ya kampuni ya IKOH MULTISERVICE na imeongozwa na Producer Amir Pro.