January 29 Yanga ilicheza game yao ya Ligi kuu Tanzania bara vs Mwadui FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Yanga walikutana na upinzani mkali kutoka kwa Mwadui FC lakini mwishoni wakachukua ushindi wa goli 2-0.
Tambwe ameiambia africanmishe.com yafuatayo >>> ‘Mwamuzi alikua ananitafuta toka mwanzo nilikua namuona, kitu kinashangaza sana ni kuona Mwamuzi mwenyewe ananitukana mimi… na nilikua sijajivuta wakati natoka akanipatia kadi straight wakati Waamuzi wengine huwa wanakujaga wanakuharakisha tu ila yeye alikuja akanipa kadi na akanitupia na matusi‘
Tag :
lainnya