Download Mp3 from African

Tazame hapa matokeo ya kidato cha nne na ya mtihani wa maarifa ‘QT’ 2016

Leo Jan 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2016’ >>>CSEE 2016
Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016  >>>(QT) 2016
Tag : lainnya
Back To Top