Download Mp3 from African

Timu ya Hispania Yaifumua Republic of Macedonia 4-0 Granada

Nacho Monreal (katikati) akishangilia baada ya kufunga bao lake la kwanza Hispania dakika ya 84 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Republic of Macedonia usiku wa jana katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Nuevo Los Carmenes mjini Granada. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Darko Velskoski aliyejiunga dakika ya 34, Vitolo dakika ya 63 na Aritz Aduriz dakika ya 85
Tag : lainnya
Back To Top