Kundi la muziki linaloundwa na vijana wanne (Dizzy,SimBizz,Nick na Aime) Mirror Team imeachia video ya wimbo wao mpya iitwao ''Nyengenga'', kuwa wa kwanza kuitazama na kuipakua.
Kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.
Kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.