Wanawake wawili wanaodhaniwa kuwa ni wezi wa nguo madukaniwamekamatwa kwenye duka la coni Electronic lililopo Jijini Arusha na mmiliki pamoja na mfanyakazi wa duka hilo.
Wanawake hao wanadaikuwa wao ni raia wa kenya na ni wateja tu katika duka hilo walikuwa wakilia na kusema kuwa hawajaiba wanasingiziwa tu.
Juhudi za kumpata mmiliki wa duka hilo ili aweze kuzungumzia swala zima hazikuzaa matunda kutokana ilimlazimu kuondoka na watuhumiwa hao kuelekea katika kituo cha polisi kwa maelezozaidi.
Mashuhuda wa tukio hilo ambao hawakutaja majina yao wamesema kuwa hivi karibuni kumeibuka kundi la wanawake ambao wanaingia madukani na kijifanya wao ni wateja ,muuzaji asipokuwa makini anaibiwa( walisema mashuhuda hao)
![]() | |
Mwanamke huyu anayelia ambaye jina lake halikufahamika amekutwa akiiba nguo katika duka mojawapokatika mtaa wa Coni Elecrrnic jijini Arusha huku akidai yeye ni raia wa Nnchi jirani kutoka Kenya.![]() |
Tag :
lainnya