Wasanii wenye umri wa miaka kidogo nchini, Chris na Junior wanatarajia kusaini mkataba na kampuni Ikoh Service mwaka wa 2017 kama walivyo tufaamisha.
Wasani hawo wamesema kuwa wanatarajia kusaini mkataba mpya na Ikoh Service ifikapo mwaka 2017 shirika ambayo iliwaahi kuwachukwa mwanzo hivi inaweza kuwachukua tena, kutokana na hali ya siasa ilijitokeza siku za nyuma na wasanii hawa wameweza kuondoka kidogo na kufanikisha kutengeneza ngoma kadhaa zikiwemo Nkunda kunywa, Urihe sasa wanaweza kusaini mkataba mpya na shirika la Ikoh.