Baada yakuzijenga headlines kupitia kibao chake ''Ile ile kama kalambwanda'',Magic Soldier a.k.a Kingorongoro ameachia ngoma yake mpya iitwayo '' Moyo Wangu''.
Ngoma hii ameshirikiana na Hitmaker wa ''Siku Mbili'' mrembo Ashley Diva ambae anazichapa kazi zake za muziki nchini Kenya.
Audio imeongozwa na Producer Master Land ndani ya Master Muzik.
Isikilize na upakue hapa: Moyo Wangu yesteryear Magic Kingorongoro ft Ashley Diva