Golikipa wa zamani wa Simba, Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amesaini mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Kagera Sugar ya mjini Bukoba inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara.
Kagera imemnasa beki pia beki wa zamani wa Simba na JKT Ruvu Mohamed Faki ambaye pia amesaini mkataba wa mwaka mmoja.
Kagera imemnasa beki pia beki wa zamani wa Simba na JKT Ruvu Mohamed Faki ambaye pia amesaini mkataba wa mwaka mmoja.
Tag :
lainnya