Download Mp3 from African

Majaliwa Akitazama Gari Lililojengewa Bodi La Mbao

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama gari aina ya Toyota iloyojengewa bodi la mbao wakati alipotembelea kiwanda cha Fibreboars 2000 Limited cha Arusha akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo Desemba 5, 2016
Tag : lainnya
Back To Top