Download Mp3 from African

Video : Sikiliza kionjo cha nyimbo mpya ya msanii Kebby Boy ndani ya WCB


Kebby Boy kutoka Republic of Burundi anatarajia kuachia  ngoma yake mpya katika studio ya nyota wa Bongo Movie, Diamond Platium.
Msanii huyo kwasasa yupo Tanzania kwenye arakati ya kuachia video mpya na nyimbo mpya chini ya producer mahiri lizer Classic wa Wasafi Record. 
Kebby Boy ni miongoni mwa wasanii wa burundki Flava wanaojua utamu wa muziki na faida huku akiwa na malengo ya kufanikisha na kupewa heshima katika tasnia hiyo. Kwasasa yupo studio pande za Wasafi Record chini kwa kukamilsha nyimbo yake mpya ambayo alikataa kutuweka wazi kama atashirikiana na msanii kutoka lebo ya WCB ao  pekee yake.
Ebu sikiliza kionjo ya ngoma yake mpya.
Back To Top