Pamoja na Beyoncé kuwa ameongoza kwa kutajwa zaidi kuwania tuzo za Grammy mwakani, kamati ya muziki wa province ya tuzo hizo, iliukataa wimbo wake wa mahadhi hayo, Daddy Lessons, uliopo kwenye album yake, Lemonade.
Wimbo huo uliwasilishwa kuwania kipengele cha Best Country Song na Best Country Solo Performance.
Siri hiyo imesambazwa na chanzo kisichojulikana baada ya muimbaji huyo kusababisha utata kufuatia kutumbuiza kwenye tuzo za muziki huo, CMA hivi karibuni.
Pamoja na hivyo, Beyoncé ni msanii wa kike aliyetajwa kuwania mara nyingi zaidi kwenye tuzo hizo, 62 na kushinda mara 20.

Tag :
lainnya