Download Mp3 from African

Mamelodi Sundowns washinda taji la klabu bingwa Afrika 2016

Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka South Afrika, imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika 2016 licha ya kufungwa kwa bao 1-0 na wenyeji Zamalek Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria, Misri.
Klabu
Klabu
Mamelodi wanavikwa Medali za Dhahabu za ubingwa wa Afrika kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya awali kushinda 3-0 nyumbani, Afrika Kusini.
Tag : lainnya
Back To Top