Download Mp3 from African

MC Pilipili Unaboa TV1 Kwa Kukopi Vichekesho Toka Kenya

Napenda kuwashauri uongozi wa TV1 kuhusu kipindi kimoja anachowekaa vichekesho huyu mtangazaji wenu Mc Pilipili(the clip).

Mshaurini huyu kijana aandae vichekesho vyake mwenyewe ili kukiongezea thamani na wapenzi kipindi chenu.

Sasa hivi kipindi hicho kinaboa sana baada ya watu kugundua kuwa anakopi kutoka kwenye TV mojaa ya Republic of Kenya halafu ndo anatuletea huku- Mbaya sana. Anajishusha sana kwa sisi ambao ni wapenzi wa vichekesho vyake vya awali vya kwetu Tanzania mbona ni vizuri tu-angalia kina mzee Majuto utaelewa maana.

Jamii Forums
Tag : lainnya
Back To Top