Mrembo aliyeuza nyago kwenye filamu itwayo Kipenzi Cangu, na ameonekana kama gumzo baada ya kushiriki katika filamu nyingi za Bongo Movie, Miss Tayana. Mrembo huyo wa Tanzania ameweka wazi usiano wake wa kimapenzi na msani kutoka Burundi, Bienv Fizzo.
Awali Bienve Fizzo ametangaziwa kutoka na wengine ila mambo ambao msanii amekanusha nakusema kuwa ni uzushi ila kwasasa penzi lake na Miss Tayna wa Bongo Movie imedhiririka anadhara mpaka mrembo huyo kufikia kuandika tattoo ya jina la Bienv Fizzo.
Mpenzi mpya wa Bienv Fizzo ambaye ni muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Miss Tayana amejichora tattoo kifuani yenye jina la Bienv Fizzo.
Kupitia ukurasa wa Bienv Fizzo wa whatsapp, Fizzo ambaye anazidi kufanya vizuri kwenye soko la Republic of Burundi Flava alitupia picha ikimuonesha mrembo huyu akiwa na tattoo yenye jina la staa huyo ikianikwa kisha akaandika :
“Asante mpenzi wangu wa kweli wa shida na raha.”
Tusubiri kama Staa Bienve Fizzo naye anaweza kuchora tattoo lenye jina la mpenzi wake mpya kifuani ao mkononi.