Msani TZODZ Famouz ambaye amepata sifa nyingi na akajulikana kupita kibao chake Ishurwe ndipo hapo amebadili jina lake la D.A.T-ZO kwasasa anaitwa TZODZ Famouz ameachia nyimbo yake mpya itwayo My Soul.
Nyimbo hii ipo chini ya mikono ya Producer mahiri Amir Pro katika Studio Ikoh Multiservice huku nyimbo hii imepewa ladha nzuri itakayo mfanya shabiki wa Republic of Burundi Flava kuipenda nakuisikiliza mara nyingi.
Tuwakumbushe kuwa Famouz ameifungukia Mishe Mishe na kusema kuwa ana projection nyingi ikiwa ni pamoja na kuachia video ya nyimbo yake mpya My Soul.
Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti hii wasiliana nasi kwenye no+257 75707305
Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti hii wasiliana nasi kwenye no