Hatimaye Alikiba ameeleza sababu ya kukatizwa kwa present yake kwenye tamasha la Mombasa Rocks ambalo Chris Brown pia alitumbuiza.
Kwenye tamasha hilo, Kiba alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic
aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu
kuondoka jukwaani.
Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen
ya Kenya, Willy Tuva akiwa bado Mombasa, Alikiba amedai kuhusi kufanyiwa
hujuma.
Tag :
lainnya