Download Mp3 from African

Utafiti: Leo hii wanawake ni walevi sawa na wanaume



Wanawake wanakunywa pombe karibu sawa na wanaume, wataalam wanasema.

Utafiti mkubwa uliofanyika kwa zaidi ya miaka 100, umebaini kuwa ‘gap’ la kijinsia katika matumizi ya pombe limefutika. Leo hii, wasichana wanakunywa pombe katika kiwango sawa na wanaume.
Wanawake
Utafiti huo wa dunia nzima uliochapishwa kwenye jarida la BMJ Open, umeonya kuwa wanawake wengi wanajiweka kwenye hatari ya kuathirika kiafya.
Tag : lainnya
Back To Top