Download Mp3 from African

Ama Kweli Nabii Hakubaliki Kwao..Tazama Rayvan na Harmonize Walivyopokelewa Burundi

Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli
Licha Rayvan na Raj man child Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Republic of Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond Platinums ingekuaje????


Tag : lainnya
Back To Top