Download Mp3 from African

Manchester United na Manchester City kukutana tena kombe la EFL Cup

EFL
Raundi ya nne ya kombe la Ligi- EFL Cup imetoka mahasimu wa Manchester – City na United watakutana tena. Mechi zita chezwa wiki inayoanza Oktoba 25.
Droo kamili ya mechi zote ni kama ifuatavyo.
West Ham v Chelsea
Manchester United v Manchester City
Arsenal v Reading
Liverpool v Tottenham
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland
Tag : lainnya
Back To Top