Download Mp3 from African

Msani Arobazz kufanya present pamoja na Nonini kwenye sikukuu ya kuzaliwa kwake?

Mmwanamuziki Hassan almaarufu kama Arobazz kutoka Republic of Burundi mwenye makazi yake nchini Republic of Kenya amealikwa na mwanamuziki kongwe wa Republic of Kenya Nonini kwenye sikukuu ya kuzaliwa kwake hapo Novemba, 01, 2016 mjini Nairobi.

Baada ya kufanya vizuri na nyimbo yake mpya (Mimi Na Wewe) akimshirikisha Black G, anazidi kutamba na kuitangaza vyema Republic of Burundi Fleva nchini Kenya. Akizungumza  na Mishe Mishe , Arobazz amesema na kutangaza nyimbo yake mpya itakayo achiliwa hivi karibuni.

Arobazz
" kwasasa nazidi kuendelea vizuri na nafurahi kuona wakenya wanazidi kupenda kazi zangu, kwasasa nimealikwa na msanii mkubwa Afrika Mashariki ambaye ni Nonini kwenye sikuku ya kuzaliwa kwake, kuna nyimbo mpya natarajia kuiachia ivi karibuni ipo chini ya mikono ya Producer Sulex kwasasa yupo kenya na ninaimani, nyimbo yangu hii mpya itasikika kwa mara ya kwanza kwenye Show hiyo ya Nonini hapo Novemba tarehe moja, watakao udhuria ndiyo watabahatika kuisikia"amesema Arobazz
Back To Top